Profile photo for ITV Tanzania
ITV Tanzania

#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu inaendelea leo Julai 1, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam ambapo Lissu alianza kushusha vifungu vya sheria kujitetea.

#Follow @radioonetanzania

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania


</div>