Profile photo for Kigogo Kigogo
Kigogo Kigogo @kigoogo___2014

Rais Samia pamoja na viongozi wengine wakifuatilia mwenendo wa kesi ya "Uhaini" inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu. Pamoja na mambo mengine Lissu ametoa shule ya sheria kwa Mawakili wa Jamhuri kwa kuwatajia vifungu vinavyoonesha namna walivyokiuka haki zake za msingi na kutaka shauri hilo lifutwe, akipinga kuahirishwa. Watu wote wanaofuatilia kesi hii wanaendelea kupata shule kutoka kwa Wakili Msomi Tundu Lissu.! #FreeTunduLissu #NoReformsNoElection ✌️


</div>