CCN WAFICHUA YALIYO NYUMA YA PAZIA KUHUSU KUKAMATWA KUTESWA KWA RAIA WA KENYA TANZANIA
Kama ni kweli intelligence ya Tanzania lazima waseme kupitia CNN?
Vipi kuhusu kutesa watu bila kuwafikisha mahakamani?
Mbona wasitumie ushahidi Toka kwa makachero wa Intelligence ya Tanzania kuwa na kesi nzito mahakamani?
Je habari hii ya CNN itaokoa image ya Rais Samia CCM na serikali ya Tanzania?
Ni ukweli usiopingika kwamba serikali ya Tanzania chini ya CCM Chama tawala imetutesa watanzania kwa miaka zaidi ya 60 na watanzania hatujali msaada utatoka wapi lakini tunataka mabadiliko.
Binafsi naona kama Samia alikuwa na intelligence kwa Nini alihamaki kutoa kauli tata badala angoje Vyombo vya usalama vikamate na kufikisha mahakamani ndipo Rais aseme tunawashikilia watu 50 kutoka mataifa kadhaa na wamefikushwa mahakamani kwa kuvunja Sheria za TANZANIA.
Alichofanya Samia ni kuharibu image ya Tanzania na itakuwa vigumu kuitengeneza irudi kawaida.