Naskia kuna warrant of arrest ati nilipiga polisi na ni hao walinipiga. Ambieni serikali na lala home, na nimewakaribisha. Sitaishi na uoga. Goons walikuwa tao walitumwa na serikali ya Ruto kuchafua. June 25, 2025 is National Remembrance Day to honour our heroes. Tupatane streets https://t.co/dsd63t1ZRY