Profile photo for TRT Afrika Swahili
TRT Afrika Swahili @trtafrikasw

Mamlaka ya Mawasiliano nchini Kenya. KCA, imezionya televisheni na redio nchini humo kutoonyesha moja kwa moja maandamano yanayofanyika katika sehemu tofauti nchini .

Vijana, maarufu Gen Z wamejitokeza kwa wingi kuadhinmisha maandamano ya Juni 2024 ambapo takriban watu 60 waliuawa.