Profile photo for Ikulu Mawasiliano
Ikulu Mawasiliano

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wasaidizi wake wakati akifuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2024/25 kwa njia ya runinga nyumbani kwake Chamwino Mkoani Dodoma. Hotuba hiyo ilikuwa ikisomwa bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba tarehe 13 Juni, 2024.


</div>